• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Teach Yourself Kiswahili

Teach Yourself Kiswahili

Paperback

General Education

ISBN10: 035987228X
ISBN13: 9780359872282
Publisher: Lulu Pr
Published: Aug 24 2019
Pages: 236
Weight: 1.23
Height: 0.50 Width: 8.50 Depth: 11.00
Language: English
Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuwalenga watu wa ndani ya nchi na wageni wanaokijua Kiingereza vizuri, lakini, wana hamu/wanahitaji kujua Kiswahili. Lugha hii kwa sasa inazungumzwa na zaidi ya watu milioni 140 duniani. Lakini, hata watu wanaokijua Kiswahili, wanakihitaji kitabu hiki, ili, na wao waweze kuandika na kuzungumza Kiswahili sanifu. Kumbuka kwamba si kila mtu anayezungumza, anayeongea na kuandika Kiswahili, anajua lugha hii kwa ufasaha. Kitabu hiki kitawasaidia watu kuongea na kuandika Kiswahili fasaha. Aidha, kitabu hiki kitawaongezea msamiati wa Kingereza watu wanaojua Kiswahili, lakini, hawajui maneno mengi ya Kingereza. Makundi ya watu yaliyolengwa Walengwa wa kitabu hiki ni makundi ya watu yafuatayo: Watalii, wawekazeji wa kigeni na wafanyabiashara wanaotoka katika nchi zisizozungumza Kiswahili .Wafanyakazi katika Balozi zilizo katika nchi zinazozungumza Kiswahili .Walimu wa Shule za Awali na Msingi, wanafunzi wa Shule za Sekondari na Wanavyuo.

Also in

General Education