• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Utata Ndani Ya Quran

Utata Ndani Ya Quran

Paperback

IslamBible Studies

ISBN13: 9798348200626
Publisher: Maxwell Shimba
Published: Dec 21 2024
Pages: 430
Weight: 1.26
Height: 0.87 Width: 6.00 Depth: 9.00
Language: Swahili

Utata Ndani ya Qurani: Tofauti na Ulinganisho na Biblia

Bila shaka, Biblia na Qurani ni vitabu viwili vya kipekee vyenye athari kubwa kwa maisha ya mamilioni ya watu kote duniani. Vitabu hivi havizungumzii tu mahitaji ya kila siku kama chakula, mavazi, na malazi, bali pia vina madai kuhusu hatima ya milele ya wanadamu. Kila kimoja kinachukuliwa na waumini wake kuwa mwongozo wa kweli wa maisha na uhusiano wa kiroho kati ya mwanadamu na Muumba wake.

Also from

Shimba, Maxwell

Also in

Bible Studies